Highest Bidder?

The slit goes to the highest bidder. This is what the bloke who had married KTN’s Mary Kilobi came to learn, to his sorrow, when brother Atwoli came along. Look, the fellow was with the lady for 3 years, long enough to assume she was his wife. Then a higher bidder comes… So juwanga hata huyo wife wako anaeza kuruka, a higher bidder akikuja (especially if she is a common law wife). hata kama ni average looker. hata kama she is 34. kuta vitu while they last.

M2RANDOM MBONA UNASHINDANGA TU KUONGELEA WAMAMA HATA USIKU UKI BID KAZI PALE UPWORK.

Wacha kunitajataja kwa threads za umeffi

Not always to the highest bidder.

I went to a shady club some time ago and found two women at the counter and chatted them up a bit. Wakaomba beer nikaomba beer. Nikanunuliwa double na maji. Dem kuniwekelea mkono kwa paja nkarusha ndoana akanisho we go wherever nataka mradi tu we club hop kwanza.

Tukifika next club nanunuliwa tu drinks safi tu. Naambiwa tuingie vip nasema staki ukaren navuta kiti nawaambia wakitaka waingie vip peke yao… tunakaa mbele. Nadara dem peupe. Lakini dj ananiita kando ananiuliza nimevuta bangi gani. Nikadai nini sasa? Akaniambia huyo ni dem wa senator. Nikauliza mjuaji mwingine hapo alikuwanga ntv kitambo tukiwa gents akaniambia ni kweli.

Nilienda bila kuaga. Nilitukanwa tu kwa simu lakini nilihepa.

Sema tu mara moya ulikuwa Sausage fungwad na ukafukuzwa at 5am due to dismal performance! Huyo Dj hakukosea, punguza Bangi na Fombe!
Sienji :smiley:

Umevuta bangi gani?

:smiley: sausage-funga ni wewe. sitaki kufa mapema. bangi niliacha kitambo, ile ya juzi ilikuwa bahati mbaya nilipewa bila kutarajia.