high school memories

Back in high school kuna huyu teacher alikuwa amegraduate pale uon na kupata kibarua day school nilikuwa na alikuwa ananichukia yake yote.alikuwa anapenda fombe sana na alikuwa ameunga kiasi.nilikuwa nakaa pale nyuma and i will not brag …i was not very good kwa vitabu.[SIZE=3]but who is laughing now .[/SIZE]so any time akikam daro ananiita .culture wipe the blackboard.hakuna kitu nilikuwa nachukia kama hio…alikuwa anatufunza history.

najisukuma tu shingo upande napanguza lakini nikisema kimoyomoyo siku moja tutarejelea hii maneno.finally i was out of that hell of a school .fuck it.huko tu ndio nilitandika yule mother kibare .huyu mode alikuwa among wenye walinikujia mbio kunimaliza but nikarukia kwa dirisha.[SIZE=3]{hekaya niliandika hapa sitaki maswali[/SIZE][SIZE=2]}[/SIZE]back to my story…mungu alalagi… last week i saw the idiot along jogoo road akitembea.

nikampigia honi alafu nikasonga kando .akakam alafu akaanza kujifanya anikumbuki.nikamshow aingie kwa dinga tuongee tukisonga.kabla tufike pale doni mjamaa alikuwa ameniambia pole zaidi ya thartyfie hive.ati sikuwa na ubaya walai culture ni kujiskia tu vile nilikuwa nimemaliza uni.not forgeting to ask him wale madem wawili aliweka ball tukiwa 4th form.alicheka tu.kumbe fala alikuwa anatembea hadi kayole ata fare hana…

nilimchapa 1k alafu nikampea number nikamshow tutabonga.usitake ona vile mjamaa alinishukuru.akaniambia life imekuwa hard sana alipoteza hio job juu ya ulevi hio time…blablabla nikamshukisha hapo na…

Mbisha ata ya “kungota”. Whareva that means

7 Likes

Si ata mimi unirushie 1k vile nilikufunza pale St. Valentine.

4 Likes

hii story yako ya uwongo haina flow hata kiasi , wekanga vitunguu kwa chakula , ma similes , satire foreboding foreshadowing metaphors meterserker . si kuandika fuaaa kama @Kihii Kiaganu

12 Likes

kula mamanki za boni forest polepole jinga

6 Likes

:D:D:D:D:Dvile nimesema hapo juu sikuwa mzuri saaaaan kwa compsition.meffi wewe

1k tu.itisha pesa mob

Shenzi…kamua momo zako Chafu.

1 Like

Nobody appreciates teachers ! Sad , very sad !

1 Like

i hate him walai na sijui kama nitawahi sahau

1 Like

You don’t hate him ,you gave him 1k. Ask sir God akubless , nest time mpesa the guy 5k and ask him to stop taking alkoho

3 Likes

@culture yaani ulikuwa mbovu hadi history yenye tulibomoa clean A

2 Likes

culture achana na walimu ni binadamu pia…safisha sisi mecho.

1 Like

the only subject i scored well was kiswahili.a b-.and am proud today

1 Like

hehe.sawa

Kazi yenye unaweza tu ni kunusa parachutes

2 Likes

kino kya ny…

Ni kyau Mukamba murituu

No need to hate people from our past, especially teachers and lecturers…one exception is some bully whom I still find it hard to forgive…I still have a feeling tukikutana WWIII itaanza…and this is a cool 16years later

1 Like

This is the only part of the hekaya where you told the truth.

2 Likes