high grade

What is the nastiest/funniest experience you have ever had with a high grade blunt??

Nakumbuka kuna day tukiwa mid term niliishia kwa dipe flani alikuwa akipanda zake kwa greenhouse. Una imagine kukula high grade ya green house. Aliniwahi blunts tatu. Saa kesho yake nikiamka ngware after mzae na matha wamejikata wera, nikafungua blunt moja nikaiseti kwa chai nikakunywa. After 30 minutes walai zililipuka nikacall mzae nikimshow ati morenga (dinga) ya kwake kuna venye imepigwa dafrao (imesanywa). Mzae ananishow naongelea morenga gani namshow ile ta kwake ananishow yeye aliishia na morenga wera. Unaskia hadi alitoka akaenda kuicheki akaipata iko. Nikaskia akiniuliza kama niko sawa ama nimeamza kukula ma high grade nikamshow hio haiwezi. Kumbe mzae alizidi na morenga wera na mi sikutambua. Kuanzia hapo nilikuwa naskia ni kama manduthi zinawashiwa kwa kichwa. Naskia tu sauti za nduthi kwa akili yangu lakini sioni any. Enyewe high grade ya greenhouse ni noma sana. Nilikamingi kutii high grade after tumeishia bash flani ya boy alikuwa Moha. Hakuwanga walalo ni ile alikuwa amefanana na walalo sana. Sasa mnakumbuka Mwas ule wa hekaya nilipeananga huku siku flani; Mwas na ulafi yake alienda akakula keki kumbe hajui imejazwa high grade ndani ivo ndo alifyatu. Tulipata Mwas anakunywa maji ya choo. Mnajua zile choo za kukalia baas tulimpata akikunywa maji ya hiyo choo. Hapo nilikam kujua high grade apana sukuma.

Nimeachia hapo kwa morenga :rolleyes::rolleyes::rolleyes:

Peasent detected

Nilichapa nikia form 2 day ya kuamkia closing day. Manze after kupiga puff threnjo nilijiona nikiwa roller coaster. Nilikua nimeshikilia kwa bed nikicheka kama mwenda. Kutoka hio siku sijawahi vuta ndukulus tena. Wacha nikae na fegi zangu.

wacha niende hivi nakam ni comment :confused:

Figsed

mtu anakumbuka midterm sisomangi hekaya yake.

:D:D:D

Wapi huko wanapanda shada kwa greenhouse Kenya? Na picha ya blunt