Jiwe wadogo zangu ni li pumbavuuuuuuuuuuuuu!!!
Wakiona unawashinda kwa huo utetezi dhaifu wanakuambia tuko kwenye vita ya kiuchumi!! Uko kwenye vita vya kiuchumi huku sisi wenyewe kwa wenyewe watu wanatembea na tape measure kupima ukubwa wa samaki. Pumbavu kabisa hawa watu.
Hivi lile lizee lilikuwa linapima samaki halioni aibu? Badala ya kwenda kuzuia uvuvi haramu ziwani wanaenda migahawani ambapo wao ni wanunuzi tu. Ningekuwa na mamlaaka ningelifuta kazi