Hey guys...

Glad to find you guys here…

Happy to find out this web exists…

Peace …

8 Likes

karibu

Thanks…

2 Likes

Nimekupea like ndio upande status haraka. Karibu

1 Like

Sasa tufanye nene? Keti pale ---------------------------->

Wewe ni nani mono…umeingia tu bila kupita exam ara!

Keti pale ------------------------->

Ndiye huyu mwingine wa kutumia Internet ya North Korea. Mko version gani ya windows huko?

Hhhh Mathaai. I am using a 4G connection on my Samsung S6…

Come slowly… Jitambulishe vizuri kwanza, otherwise karibu sana

Haaaaaaiya joka, wewe ni nani, umetoka wapi, unaenda wapi, na mbona hajaketi---------------------------------> Kama vile umeambiwa

new villagers should not post a thread unless ya bundles mwitu

2 Likes

Apewe entrance exam

Unaona guys hapa? Hebu keti pale ---------------->