hey cretins

Hizi chapati tamu zenye zinatoka ngozi hupikwaje?? .
buana nimejaribu kuunda maghasia zinageuka black .

womens angusheni resipe…

niaje sledge

Si uoe @Mrs Shosho

poa sana @MISCHIEF

mrs shosho wa kazi gani
Mimi nikona haja na recipe ghasia ii

@admin change hizo quote , poa ? ghasia

Sijui mbona huu ufala hunichekesha.

How to speak British English

Water. - woota
Tuesday. - Chuusdei

liar. - laaiyaaa
Get out. - Gechaaaut

Make love. - mek luuv

@SledgeHammer huu ni ujinga wa kuzaliwa ama ni acquired stupidity :D:D

nyundoSleji niaje? Mahali umeziona enda wakurushie recipe. Na usitoke hapo kama hujajua…

Ati unapika chapo zinageuka black? Don’t you think that’s a sign from the chapati gods?

:D:D

@Sledgenyundo = @Mosakwe

Enroll kwa classes za kupika :D:D

Sssssssnz

Please in future can you offer your wife, daughter, and if this all fails your mother or grandma. Okii? good… hii kutafuta likes using my handle is a bit so yesterday! Your forefathers/mothers on Ktalk must be burnt out by now!

Don’t bother responding!

Cretin ni wewe. Chapo nunua java