Hessy Wa Keg

Nikiwa class 6 kuna kadem Fulani kalikuwa kanaitwa Milkah. Haka ka dem kalikuwa ka pole but haka kuwa na bonge LA ass kama la kiRuthi dem Fulani nilikuwa namezea mate, anyway to cut the long story short haka kadem kalikuwa kameni crushea mbaya sana but nilikuwa nakalenga. Sasa Leo nikienda zangu joint ya keg gari aina ya premeo imesimama mbele yangu nikienda kupita nikaskia nimeitwa na kasauiti kanyororo ivi kama ule dem Wa safaricom hukuambia you have insufficient balance, ikabidi nimeangalia fiti kidogo kidogo nikaona dem ameshuka msee dem anakaa woman of my dreams, dem anakaa exactly kama Anita Nderu. Dem kushuka akani salimia akaniambia na rusungu “you look shocked” Mimi ikabidi nimwambie ukweli tu “eeh juu siko sure kama ni Mimi umeita” dem alicheka tu maze hata sikuamini juu sikudhani naeza kuwa mfunny kwa ngeus kama yule, waaah dem akaendelea “you don’t recognize me, right?” nilikuwa nisha changanyikiwa FAM juu hio swali ni rhetorical (haha hii jinaa nimejua Leo kutoka kwa huyo mamaa) juu siezi kuwa najua futem mrembo kama Huyo. Ilibidi tu nijiongee dem aongee SWA juu rusungu lilikuwa ile ya wambana pua. Sasa ngeus AME endelea kuji introdusi akasema anaitwa Milkah, FAM karibu blad presha ipade but nikaji control waah kumbe ile story ya evolution ya Charles Darwin huwa ukweli. She told me she’s now a lawyer and that was her car akaniuliza nafanya nini Siku hizi ikabidi niji fanye siku skia fiti but aka insist nikatoa ile sura ya msee amechomwa na ugali moto kwa koo, a lot of shit zilikuwa zinatembea kwa Oblongata Niki shang’aa nimwambie me ni graduate Wa bachelor of economics under the university of Life teachings, but juu ashauliza nika sema tu am a business man. She looked impressed akasema juu the business ain’t doing good juu ya state of the nation twende innocent a buy drinks (famous joint in town naendanga tu x mass) me sikuichukua kama joke niliichukulia kama opportunity. We went in a pub talked alotta shit but ile iliniumiza is she’s getting married in 4 months time na alikuwa anataka anieke kwa group ya w/app nikiwa committee but since boy child ni broke chenye naeza changa ni blessings tu imebidi tu ni dinde . Sasa tunaongea ivi boy child ameshikiwa nyama chom na Guinness chupa saba haha minyoo iko surprised Leo, but ni kama Huyo ngeus bado anani feel haha juu amenipiga hug aka kosa kuniachilia for 4 mins. But hessy ni hessy tu imebidi tu nipitie tu joint ya keg juu hii shit ni kama medication lazima iwekwe kwa system but na ambia wasee nakunywa jug moja juu nisha kunywa Guinness saba haha.
BTW nisaidie na moral of the story.

20 Likes

upusi

Chukua like mkuMbwa

2 Likes

zile madent ya kuangushwa na pikipiki ilipona?

1 Like

jaribu kuweka paragraphs ndio tujaribu kusoma…ni muhimu…

2 Likes

Dunga digaga

Ushawahi kunywa keg baridi kukikuwa Na jua Kali pale Mwauras?

Mwivi

Niaje slum dog?

1 Like

He he… Umenikumbusha pombe baridi tulikuwa tuna chotewa na mkebe pale kbl tunai piga flash na ni asubuhi. Kajua kakichomoka ka chome forehead ulevi inapanda mara iyo iyo

4 Likes

hehehe, boy child umeweza. ignore the haters ma uchukue like

1 Like

Jimit wewe ni dim eye ya coundy ganiii. Hekaya timam hii.

1 Like

Mimi hapana dim eye, mimi Mkenya

2 Likes

Im utterly sorry gor showing any sign that I give any fuck about what a villager thinks

1 Like

Huyu no @Ka-Buda hapana jali yeye

1 Like

Hivyo ndivyo kunaendaga. Waliokudharau siku moja Watakusalimia kwa heshi… heshima.

2 Likes

na wale walikunyima,siku moja watakupanulia kwa heshima?

11 Likes

Touché . Sasa vile ulilenga huyo mwoman dem days.Don’t Try and make it up to her cus she now someones wife.

1 Like

Sawa.

NGOMBE ya DC nko sekta