Hessy anatafutwa

[ATTACH=full]101097[/ATTACH]

Huyu hessy ni mtu mmoja au ni watu wengi?

Kazi iendelee

nashuku ni kadhaa

Anatafutwa na nani?

Its called off the book.
On a side note himan rights activists wacomment kuhusu huyo G4S guard ameuawa hapo juu.

Si mwenye anamjua/ anawajua awaambie wakuje huku kwetu , some tuboys need to be offed

Ona hii reasoning sasa

Nimekubali am a fossil, can’t get a thing. @FieldMarshal CouchP ata usijaribu.
[ATTACH=full]101109[/ATTACH] [ATTACH=full]101110[/ATTACH]

hessy ni wengi, kuna wa dandora, Kayole, githurai, kariobangi… etc

Kuna Hessy wa Ktalk pia…na sio @pamba

Bingwa niache si you go volunteer to be a suicide bomber , am sure the bomb will excite you mpaka utalipua ma al- saitan wenzako and the world will be a better place

Nakuwachia nini sasa? You started it

I give up
@Mzee mzima si ufanye transleshen

:eek: yenyewe unakuanga umechizi wewe , punguza bangi

waah nimezeeka sishiki any

Ni ndefu sana madam

Waahhhh this is where you set a thief to catch a thief.Nimeelewa kiasi though …the trick is jina kama “lembe” igeuze iwe mbele

Zingine unaweza pata from context.Zingine ni mother tongue.Mitiech na sheggah sijui ni nini.

PAMBA ILIWE

Mitiech ni mtaa I think.