Heshimu Kirauni

After admiring haka kadem ka the next plot over the fence for sometime finally a chance to make my move ikaonekana.

Nikiwa raundy zangu nikagongana naye akitoka kwa soko, akaingia kwa base ya chipo na mimi nikamfuata huko. Kuingia ndani alikuwa kwa counter akipiga order yake, yeye kumalizia na mimi nkaweka order yangu nkaongeza kakuku quarter. Nikaenda kukaa nayeye kwa meza moja ndo nitupe lugha tukisosi.

It dint take long for my charms to take effect on her. By the time tunamaliza kusosi alikuwa amechangamka mbaya. Tukatoka kwa chipo tukiwa tight, akabeba kiondo yake.

Kukaribia hapo kwa chief Ungwaro nkasikia filimbi imepigwa lakini sikushikanisha ni ya nini, tukaendelea kutembea. Kucheki left, majamaa wako attention wote na right same design. Kugeuka nyuma style ni ile ile. Hapo namimi nkaamua kusimama kama wale wengine nikashika mlebo mkono na a big smile, enjoying the whole scenario not knowing kuna rules and regulations nilikuwa naendelea kuvunja.

Kidogo ile filimbi ikapigwa tena. Majamaa wakaanza kutembea na mimi nkawafuata kuelekea mtaani. About 20 meters hapo mbele ma AP wa chief wakakam mbio wakatufikia nakunipiga hook kwanza. Dem na skirt yake pia akapigwa yake sisi hao tukarudishwa mpaka pale kwa post.

Kufika hapo hata sikuulizwa swali kofi ndo niligawiwa. Kabla kuuliza is vipi nikaongezwa ingine ati kwanini nadondosa na bendera inashukishwa kwani siheshimu crowny. Nkawaambia hata sina habari kama filimbi ilipigwa. Hapo nika blunder nikapewa kibare nyengine. Wakageukia dem, yeye wakamlalisha chini akapewa viboko kadha za mahaga. I could tell they were really enjoying themselves kupasha hizo madiaba moto and there was nothing I could do about it. Kumaliziwa nikaambiwa nitoe njumu nichukue slasha nifyeke nyasi hapo inje ya ofisi na dem naye akapewa jembe moja bluntest apalilie nduma huko nyuma.

Kurudi kwa hako ka ofisi kao after kumalizia assignment napata wametulia hapo nje wameshikisha banana za huyo manzi vifyam. Giza kuingia ikabaki tutoe kitu kiasi tuende, mimi nkajipata nko zero dem pia yuko bilaz. Yenyewe akina @pamba ni washenzi. Mmoja akaniuliza, “kijana hakuna mtu yeyote unaweza pigia simu akuje akutolee kitu kidogo”. Nikamwambia hata nikiwapigia hakuna jirani atanikopesha chapa juu wanajua poa sana silipagi deni. Karao waliboeka wakanipigia harambee vita ya mwisho alafu nikapewa ‘dem’ wangu niende kabisa hata nisiangalie nyuma.

Kufika mtaani naye huyu singo madha akazuwa ati atanipeleka karao juu nlikula kona na mtoi wake. Kumbe mbuda mmoja wa hio ploti ndo aliniona nikikulisha dem chipo akaletea mmadha udaku. Kujaribu ku plead my innocence mmadha akanikunja mashati kama fala. Ilibidi tu nimuachie hio shati roho safi nkabaki kifua tupu na vyenye kanjeve kalikuwa kamejichocha. Nkaenda mwenda to avoid hizo aibu ndogo ndogo. Iliniuma sana kunyongwa ka mwizi na kimadha hivi hivi na sahio makosa yangu ilikuwa ni kukula chipo na daughter wake even though I had plans kubinja hako kadem that evening if it wasn’t for hao ma AP kugongesha hesabu na hio upuus ya kuheshimu bendera/crowny zao.

I guess dem alieleza madhake vile kulienda after rabsha mob akatulia. Tulikutana na huyo madha jioni moja kwa roady nkajua nmepatikana akanisalimia vpoa na kunisho niende shati. Alikuwa ameiosha na akaipiga mpaka pasi.

:D:D:D

Nice kush

Tuseme wewe ni magnet ya bahati mbaya

:D:D:D:D:D

did you follow up with the totoz? Ama stori iliishia hapo

:D:D

Mr. Trouble. See me see trouble oooh!:D:D

[ATTACH=full]58511[/ATTACH] Iko Sawa Mzito.

Hehe

Hehe … kym hajawai wacha iishe tu hivyo

mtu wa hekaya kweli. you should write a book

:D:D:D:D:D:D:D

malizia hekaya naniii …, ulibinja kadem na after kuendea shati ulipewa juice??

@kush yule mnono , masaibu umeyapitia kweli, mara unachapwa vita huko lenana forest, sasa unachapwa vita na mama jirani. pole sana ndugu

:D:D:D:D:D.

:D:D:D:D:D:D:Dati harambee ya viboko…si mngehepa boss

:D:D:D:D:D:D:D

mimi nishai shikwa nikajifanya bubu ikabidi wamenisare

:D:D:D:D kushe sasa yaani haukukabinja ata baadeng

For the first time hukupitia kwa fence ukihepa :D:D:D:D

Hehe …