Najua hesabu ni ngumu lakini ni Sadie hapa kidogo kuna dem nakatia mshahara yake 30,000 lakini simu ile ako nayo ni S6 bei ni 50,000 kwenda Juu. Hii Hesabu inaingiana?
[ATTACH=full]92772[/ATTACH]
kwani Kihii wewe huwa husave pesa ya muhindi?
30,0000…kuuliza tu io ni how much@kihii kiaganu nijibu priss
Hesabu ndiyo ngumu
ukilipwa per day utasave 10 Bop pekee
Leo Hakuna breakfast
Wewe hutomboi Nairobi !
Si inawezekana, mnigga karibu nibuy Xiaomi ya 90k but nkaona ni ukumbafu kukua na phone ya 90k na bado sijajenga nyumba
Kwani nyumba ni 90K?
Nope, but hiyo 90k inaeza saidia mahali pakubwa kwa ujenzi, or let’s put it this way, ni kama unadunga cladi mitumba na kutembea na phone ya 90k
Wacha uzembe, Hio sio Calculus, fanya hio hesabu na utalilia chooni
90k inabuy kama 140 bags of cement, hiyo inatosha kusimamisha pigsty kutoka foundation hadi slab level
Sponsor manenos.
Labda kuna kamzee age ya Gashui kanashindaga juu yake kakimwaga mate na saa hiyo unadhani ako job.
He he,
enyewe hesabu ni ngumu bw uwesmake…
Wewe ni wale wa “siwezi nunua gari kama bado nalipa rent?”
Sigwes nunua gari kama bado nalipa rent
slightly used s6 hapa nairobi cbd ni 20k… with recepts
unaweza pata “liberated” s6 na les than 15k