Her-sara

But sijui mbona madame unapenda vya bure hivo. Jana nimetembea kwa Cuzo yangu huko makongeni, nikasema nifike mtaa ya hiyo area nicheki arsenal ikikamuliwa as I sample mizoga ya huo mtaa. Kwanza nikaingia phone book nione kama naeza pata mtu naeza pigia anishow ile baze poa.

Kibahati nikapata kumbe niko na namba ya mzoga fulani alikua amenichapia ati anaishi hizi mtaa. Nikamvutia nikamshow niko area tu meet, akanishow atakam but ako na mabeste wake wawili so wako watatu. Hapo nikaona hersara itakua, nikaamua niingie club nione itakuwaje, aje na rafikize ama!

Kuingia tu hivi nikapata maboyz wangu wa home kumbe wako hiyo place. Nikaona hapa deal imeiva, nikawashow niko na mizoga tatu zinadai form, maboyz wakachangamka.

Nikashow madame wafike, stage iko set. Walivyoingia nikauliza maboyz itakuaje tusplit bill hapa, wakadai hamna wass nikafika counter nikachukua mzinga ya Flirt nikachafua meza.

Game ikiendelea nikaona boyz mmoja amejitoa Ata bila kunishow, kuulizia akadai ati ex wake yuko hapo Na hawawez share a roof. Sijui ni woga ama ni nini pia huyu boyz hachangamki. Nikaona hawa mafa wananiachia madame, before ata nirealize mzinga iko flat kumbe nadeal na guzzlers!

Hapa nikaona ni mbio itanisaidia, vile game ilidie nilifake call na hivo ndo niripotea!

16 Likes

:D:D:D:D:D

Picha ya hio mizoga ni fery himportant ndio tukusaidie

1 Like

[ATTACH=full]73662[/ATTACH]
Ni Christmas mood, saidia wasiojiweza

25 Likes

[ATTACH=full]73665[/ATTACH]

2 Likes

:D:D:D:D:D:D nani bado hukunywa vodka siku hizi???

2 Likes

Gender equality means I treat women as I do men=kila mtu na wallet yake. Ujinga wa kununuliwa______________>>>>

4 Likes

Jaribu upatane na beste mkisii fala hadi CD atadai umnunulie eti atakusort cz pesa ziko kwa ATM… It happened trip ya Nanyuki… Karibu niache jamaa huko cz after kutoka club anadai eti nkama atm imesanywwa kwa club…

6 Likes

[ATTACH=full]73710[/ATTACH]
Bells anyone?
Cc @Luther12
@gashwin @Fala 12

2 Likes

Ngengere! :D:D:D:D:D

[ATTACH=full]73747[/ATTACH]

Jana tumejipata tukisponsor madame watatu…, one tagged along her friend, total bill 17k,coomer zilch… . the ladies had the nerve to ask me for fare after that… .nliwaacha hapo kwa parking lot…devil is a liar. Heri ningenunua kondoo Nifunge… Brare fwaken…nimeenda ocha Sasa

4 Likes

wanaume wengine huwa na umama sana.yaani akunywe pombe ya bure na bado ana guts za kusema umnunulie CD…WTF:eek::eek:

1 Like

Madame wengine unaskianga kama unaeza wakula hadi mkia

1 Like

Mimi huona hizi pesa mnasema mwatumia in a single sitting nashangaa kama tupo dunia moja. If I dared pull such a stunt naweza jipata nala ugali na turungi mwezi mzima. Haisuru!:frowning:

11 Likes

:D:D:eek:

Unaachaje bill ifike hapo? Mimi siwes waste pesa kama hiyo on a woman unless it is my wife, sister or mom. And the reason better be worth it.

4 Likes

#lipakamakabura

1 Like

Sato walijaribu na mimi, sichekangi nao

Maze! :slight_smile:

Kuliendaje? Nakumbuka ukipost ukiwa mlevi.

1 Like