Helping someone get a job the same place you work. Wadau leteni testimonies.

[MEDIA=twitter]1500551397716205576[/MEDIA]

Had put up some thread along this line some time back…
Wacha waseme we ni mbaya…hv seen some crazy things watu wakifanyiana

Kwa Wakamba hajakosea one bit, the no. of times nimeona na kusikia mkamba akichongea mwenzake ofisini ni nyingi hata mimi pia kuna wawili karibu wanichomee tenda nilikuwa naservice, saved it by greasing palms that were already initially greased.