HELP

Nimepata 5k za old 1000 notes lying around kwa nyumba. My dad aliweka kwa nguo flani akasahau
Saa hii inaniuma bana. Kuna place naweza exchange saa hii kweli ama niwashe nayo moto tu

If you are going to burn them, record a YouTube video of it. At least you will get a few views.

Hama Kwa mathee ghasia chieth

Hivyo ndio pia mimi inaniuma

Keeeep it

Weka twitta people are willing to buy them

Hama meffi wewe

Izo noti utakuja kuziuza siku moja pesa mingi. kaa nazo.

Weka kama souvenir. Nimeweka old thao tatu

[ATTACH=full]281443[/ATTACH]

What were you doing at your dad’s place?

Hizo noti hata njugu karanga haziwezi funga siku hizi bana

I can buy them for 50/-

Kutembea…