Help

Niko kwa boyz wangu hapa ruiru for the long weekend. Nitasafisha bunduki na macho wapi?
Huku ruiru kunabore.

kwa huyo boyz wako, kwani ni wa nani?

1 Like

Sirri NV

1 Like

Enda club inaitwa Klymax…itisha mbili kwa bill yangu nakuja kulipa

Boys ni wako. What you waiying for niggah?