Help with Kiswahili translation

Use only applicable term to translate the following terms

Procrastinate

Seldom

Sometimes

Tendency

Scale

Destroy

Complains

Mocks

Break

Complaints

Tease

Hyperactive

Flight

Ethos

Lingers

  1. kusitasita

…and “Hesitation”?
Thanks!

Thank you so much!
Sometimes- wakati mwengine

When do we apply “pengine” to describe “Sometimes” ?

Procrastinate -utepetevu

Seldom-Nadra

Lingers-Kolea

Tease -Tania

  1. Wakati mwingine sielewi kwa nini napatwa na mashaka juu ya hali yangu ya afya
  2. Pengine ni vyema kuujua ukweli ili kutoingia matatani

Mocks-Kejeli

Hyperactive-tapatapa

Tendency-Udhubutu

Ethos-Maadili

Tania ni joke ila teasing inakuwa unatania kwa namna ya kumkera mtu. Kwa tafsiri nyingine ni ‘tania kwa kukera’.

Tendency can be categorised as ‘repeated behavior’ (for example, my child has a tendency of long cry every morning . Tendency = mazoea

agreed …Udhubutu = Daring

  1. Kupostiponi

Wa, some you are good in Kiswahili. Hapo ningeanguka mbaya sana

Procrastinate - Prokratineti

Seldom - Selidomu

Sometimes -Samutaimusi

Tendency -Tedensii

Scale - Sikeli

Destroy .- Desitiroi

Complains - Kopulaini

Mocks - Mokii

Break - Bureki

Complaints - Kplainitisii

Tease - Tisii

Hyperactive - Haipakitivuu

Flight - Flaitii

Ethos - Madiri

Lingers - Lingasi

Bangi unayovuta imekufanya muflisi. Nikupeleke Lamu ukale pishori na sharubati ya tende na tangawizi