For the first time nmelemewa kuroot simu. hii phone imekam juzi kwa market Tecno N2S running on Marshmallow 6.0 imekua kichwa ngumu. I’ve tried all rooting apps zote hazijaweza. Ningeroot via recovery but hakuna TWRP ama CWM recovery.img yake. nimetry romdump/readback ndio niextract stock recovery.img then niport custom recovery.img yake but haiback up rom ama kudump.