Help removing bad odour from my ride

Wakubwa, recently I was upcountry kusalimia jamaa zangu. Being the only youngish guy owning a car in the village, I command a lot of attention nikifika mtaani, ni kama DP akiland Nyeri.
Anyways, lift naombwa na kila mtu.
Now there are these guys waliniomba lift, walikuwa na maziwa kwa kibuyu. So they asked if they could put it in the boot, I said yes, na tukaendelea na safari. Kumbe negroes hawakuwa wamefunga kifuniko ya kibuyu vizuri, katika ile Hali ya Gari ku brake hapa na pale, maziwa ikamwagika kwa boot, ikaflow mpaka back seat!
Man, I never thought maziwa inaweza kuwa na harufu mbaya hivo Kama ya mbwa amekufa! Nimeosha boot yote, nimetoa mpaka back seat nikiosha na all kinds of detergents, lakini wapi, bado hio harufu bado iko 4 weeks down the line! Hata sai sina confidence ya kubeba mtu tena. Sijui nifanyaje nitoe hii harufu kabisa

Pour baking soda on the area and leave it over night… alafu the next day you vacuum it.

Maziwa kumwagika inakuanga ngori sana. Hio smell haitokangi

Mix one part white vinegar with four parts water into a spray bottle. Spray the vinegar mixture directly to the affected area until it is completely drenched. Let it soak for about four to five hours, and then blot the area dry with a cloth. Leave yourcar windows open to allow air ventilation.

sema ukweli kama ulikamuana kwa gari that smell should remain permanent ndio ujue haujui

Buy a strong perfume kama zile huwa Somalis wanahawk. Spray the whole bottle in the vehicle and keep the windows shut for several hours

Vinegar, baking soda, dish soap na warm water… works everytime

Hapo hakuna solution. Hiyo smell itakaa hapo Ndani kwa muda mrefu sana

Nisha wai nunua nyama kiamaiko , kumbe the thing was dripping blood , hio gari nili osha na jik , I used a spray bottle to make sure I covered all the nooks , because just normal washing wasnt doing the trick. Hio harufu ya mocha sio raha !

Lemon juice is also strong in covering odour…above recommendations zikishindwa nunua ndimu kadha, squeeze juice and spray hapo.

Kama unaweza… lipa full car detailing pale oppst yaya centre. Leave the car there for 4hrs. Wafanye full wash hadi viti zitolewe, zianikwe kwa jua proper.you will never smell that thing ever.2,500 damage.incl burffing

I don’t understand the thing btwn maziwa na gari. Bro yangu alibeba my other bro na batoto zake from tao kukawa na maziwa imemwagika but it was fresh wakitoka. By the time wanafika ocha, a mere 100km tumbo zao zilikuwa zimefura kaa chura. Gari imefunguliwa Windows lakini stench inatoka ndani wueeh mpaka nikachukia nisssan Xtrails yet shinda ni maziwa

hiyo ya waria can work, kuna siku nilipea kienyeji waria kutoka rounda to south c, gari ilinuka hiyo marash yao for 2 days, kila mtu alijua kulikuwa na ninja kwa gari, very strong

Details of the place please

May I recommend Mobile Detailing carwash pale Facebook. They come where u are with their own products and Machines

Sasa umemsaidia aje??:D:D:D:D:D