Help needed

:D. incase we don’t hear from him,i’ll make an effort. i’m usually there on most Sundays

hehehehe huyo ni mkamba kumbuka amerusha mtama… hiyo yoghurt wewe ndio utaikamua :D:D:D

6 Likes

Hapa hutasaidika import them through @Kentex Cargo

lol… and to think that I actually believed this guy… kumbe hio ndio ‘yoghurt’ anasema… smh

2 Likes

it will take time… I need them asap

You can get this at National Beekeeping Station, Ngong Road.

  • Panda No.111 from town, shuka Lenana Stage,
  • Panda nduthi, waambie wakupeleke BeeKeeping
    Affordable pricing! Ask for Mr. Okinyi Akite…very helpful individual.
2 Likes

Thanks dear…

1 Like

kuna nyuki zimejenga hive nyuma ya shack yangu kujia

2 Likes

Ice pubes acha kuniharibia bana. Si unacheki kifaranga ilikuwa karibu kuingia mtego

1 Like

hiyo ya mutula uliza wakanyama hizo zingine uliza daktari jumbekavu

Smelly honey iko kwa @Wakanyama , Gum ya mastic sijui, mutula tea iko mayakos, Liquorice root ni roots za mchele zinapatikana kwa bar Mwea

Try healthy U…

hizo vitu sisi machinku ndio huwa nazo,kujia

1 Like

Waambie pia wakupe prospolis. Shida zako zinakaa mob tu sana. On a different note, start healthy cooking. You will never need such.Less sugar, a variety of vegetables, fish, and fruits.

manuka honey yani kinungi
mutula alikufa

1 Like

hii ni blonde moment? hahahaaaaaa

2 Likes

Nduisi kwi munuka na munuka (wa) honey?

I need either two…preferably manuka honey and mastic gum

[ATTACH=full]33300[/ATTACH] Manuka Honey ndio hiyo iko Nakumatt. kshs 2600 ile jar ndogo

1 Like

hehehe…
she was serious asking how she can get it…
ningemwambia apanue miguu ama mdomo but sitamwambia. she is a veryvdear online friend

2 Likes