Help mjengo matters

Talkers tafasali I need some info on mjengo matters. I want to fence off a parcel of land na mabati so that I can start a mjengo bila usororaji. I know there are those used mabatis that are sold as scrap ama kitu kahio. Kama any villager anajua where I can buy them hebu share the info. @Chloe your input is also welcomed.

kama huwezi nunua mabati ya kufence, pesa ya kujenga utatoa wapi?

8 Likes

hizo maswali enda ukaulize mwenye alikuuzia buroti

check kwa izo factory za ruiru.

huyu hana kakitu si anunue tu magunia ama cartons?

Siku hizi umekuwa sonko venue unaongea …!!

jua kali hapo city stadium

Kariobangi light industries. Ulizia ukitembea kwa hizo hardware utapata.

hapana,lakini hii maneno ya kuuliza mabati scrap kama huku ni scrap yard haileti shangwe.kama mabati mzee inaweza patikana limuru atabeba na mgongo?

tofauti ya reject na normal ni around 80 bob kama uko far si hio saving itakuliwa na transport?

You have a point, lakini in some cases difference inaweza kuwa more than 150.

Nunua 32gauge. It is affordable

1 Like

hapana,ni kitu nimefanya ,hakuna factory inatengeneza mabati reject,kwa hivyo kuzipata factory sio rahisi,kwa hivyo lazima uzinunue kwa mabrokers

1 Like

Gikomba as you have been told towards city stadium, near the TNA headquarters, you will find factory rejects at a very fair price.

he he he,wachana nayo,hii ni zile jaluo huwa zinakatalia kwa manyumba ya wengine,sasa itajua sio raila huwa anatupatia mabati

2 Likes

Huko si ni karibu na Burma Market brathe. Pahali ma chuma zinagongwa gongwa?

hakuna fair price hapo tofauti ni kitu 80 bob,halafu alipe transport mpaka kantafu atakuwa amesave nini?

OLX has some factory rejects 3m 32gauge @400.

na kwani miti hakuuliza reject?napenda sana

1 Like

Brathe juzi ulikua na 500k baada ya kufukuzwa kazi, si uniconnect na hao watu wanakupea tender ata mimi angalau ninunue 50*100 Nairobi. Niinbox. Hii msoto sasa itanimaliza.

1 Like