Help kiasi

Jana iko msee ali post documentary ya reformed thief ,nipewe link pls

Please go through all the 100 threads posted yesterday, then delete this thread so that the next person does not have to go through the same pain.

mjamaa wa lorry ya muhindi kwani leo uko off?

ni jirani alipost, akadelete…

Nipe mwakenya ya kcpe ,nataka daughter apate 501 marks achukuliwe nova academy.

He’s trolling us with this handle.

Nilikua nataka ku iwatch, iko msee ana kumbuka jina?

https://www.youtube.com/watch?v=uVlzNUF3zbs

Thanks kaka

Tata imechoma clutch na niko kwa kichaka huko utawala. Makanika naye hapatikani sijui alilewa sana jana. Leo ni mimi headmaster hapa hadi makanika apatikane.

Baradhuli wewe, kusaidia ni ngumu wewe sadistic creature…chieth

Hii mambo ya masomo mingi haisaidii hatutaki. Wacha msichana akuwe fundi stadi tuwache kuangukiwa na nyumba.

Pole. Inaonekana hiyo lorry ume-overload mbaya.

Lazima tu-overload ili kitunguu inuke.

Mekanika mreffi