Natumia nokia e5 kama modem.alafu status inasema connected lakini ukiopen browser inadai no internet connection,ninge gugu lakini sijui rusungu
una tether ama unatumia usb?
unatumia network gani ? coz if you tweaked the settings on the phone you must do the same kwa pc
Natumia usb cable.ku tether ni? Settings ziko poa.ju ata nikichek comp inashow connected ata speed iko true
Saf ndio network
funny how this thread will evolve to bundle mwitu n free internet
4 Likes
unatumiA nokia pc suite?
Yea @Zee
hiyo stuff husumbua sana just check kama uko na nokia connectivity driver intalled na simu uweke 3G