Help a villager.

Wadau…mnajua any places Naeza hustlia ka student.
Any recommendations?

unasoma county ipi? uko long holidays ama shule? course gani? town enye iko karibu ni gani?

Not the best answer but bangi sells in campus better than flash drives.

Stop misadvising the kid.

Ambia yeye anunue photocopy machine na lappy. Halafu akuwe anapiga back to back photocopy hatakosa Mia mbili za Konyagi kila siku.

Niko University of Eastern Africa Baratob, Niko shule and closest town Ni kapsabet.

It sounds great. Thanks