@Heke aka @makende ako live from Gulf

Enyewe wakenya hunonea i place…mtu amezoea mtura na keg Kenya baada ya hustle anapatana na flavoured poison(juice) na kuku za kudungwa sindano zina mature in one week…yani hustler kama @Landlord amepigwa ma kahasho na life Kenya anapatana na soft life na hakuna kuma…ata kosa kunona ujinga aje