Hii story ya alshaabab ni noma sana…nilitravel lamu na bus for my first time, I didn’t know the security situation between tana river county na lamu…hapo ndio unapewa escort ya AP after kusearchiwa na KDF…kumbe boni forest hapo ndio inaanzia kuwa thick…so bus lazima zingojeane na escort moja inakuwa front na moja nyuma…safari ilianza na hapo ndio roho inaanza kududa bus UD inarushwa na speed ya ile landcruser na hakuna barabara anything can happen in between.
The place is a very long stretch before ufike mpeketoni. Hii ndio the real place where the war strikes between KDF na ashaabab very dangerous place. They normally strike 5 morning na 5 jioni…
I happened to be in that area hio masaa ya jioni…nilipanda bus inaitwa takweel kumbe ilikuwa na issues kwa rough road haina springs na shocks so inaenda slow…after mpeketoni town the escort inawapeleka mpaka hindi of which bus zote zilitoka teke sisi tukaachwa nyuma peke yetu. …nilikuwa nimekaa hapo nyuma ya dere so nilikuwa na cheki side mirror kiplan…nilikuwa naona escort ya AP inacome tu but ilifika mahali sikuiona tena so its like we were left on our own…Kumbe huko nyuma kiliumama alshaabab walianza kutupa risasi kutoka kwa bush…so hawa AP nikama walijua wakahepa.
Sisi tulipigiwa simu kutoka mpeketoni town ati kimeumana so tuongeze speed… hapo na hapo nikawapigia watu wetu…kucheki nyuma zile gari tulikuwa tunapitana nazo zilikuwa zinacome kama gari za miraa mataa zikiwa on…kuna bus ya watoi wa chuo ilicome mpaka nikastuka watoto wameshikilia roho zao…yetu juu ilikuwa maregea viti zilikuwa zinangoka juu ya speed barabara ni mbovu…hii ni kifo…so vita ya KDF na hawa alshaabab ni real niliamini.
Hahahaha…hii bangi iko kwa hii kijiji inafaa iwekwe mbele ya tribunal! But seriously, kwa nini hiyo area ikuwe so unsafe na chopper zinatafuta simba Nairobi?
Its all about dedication. Kama gava haijitolei kusaka hawa manugu na every resource available, hakuna venye hio place itakuwa safe. Na pia kumbuka hio forest ni vast kupindukia; so manpower vs machine lazima iwe mob. Na US/UK watusaidie na drones kaa sita