hekaya uncle uwes

HIZI dogi ati poodles ni za ufala sana , kuna time nimeenda kuchukua slices kwa my baby mama pale Rongai kwa akian @Deorro , nikapata amenunua hii nyoka aka poodle . so mimi uncle Uwes nikajifanya navy seal since nimezoea bukusu shepart nikamwambia what a cute dog , akaniambia imeuma Sanchez juzi nikadispute , akasema yeye tu ndio ako free nayo nikasema ni upusss . nikaidaradara kwa kichwa imetulia , saa mbili dem anapika kitchen mimi nacheza na sanchez hio ngombe inakuja ikiwikawika , nikajua tu imefurahi . kidogokidogo nikaskia harufu ya nyama kitchen nikasema wacha niende nionje nyama moja nikishika momo matako . nikaenda nikashika matako nikapewa nyama mbili na momo (kama vile madhe alikuwa anatupea tukiwa watoi tukivisit kitchen ) , nikaona hako kaumbwa kameniangalia nikasema niidare na mguu polepole then next thing niliskia ni fangs kwa kidole yangu nika yelp kama bukusu shepart damu ikitoka , momo akaniambia 'pole wachs nikubandage sinilikuambia ’ nikasema isorait hii poodle imecheza na sniper .

After Sanchez kulala nikacheza shot mbili then nikasema naenda kwa choo . nikatoka kama nimevaa kiatu na kuingia kwa choo where the schupit dog was sleeping , ikafungua macho moja before ifungue ingine ikakula timberland ya meno Lesnar style before ilie ikajipata nyuma ya choo jaw less . ikafaint , mimi huyo nikanyora nakurudi kwa bedroom .my dear akaniuliza kwani dogi haijaleta shida nikamshow inatambua navy seal uwes dryfry artist . nikacheza ktalk threshold 7 minimum tukalala .

'Mami mami ’ cried out Sanchez , ’ Alex Ferguson haamki ’ , ’ Sanchez wacha kusumbua mam ’ reiterated the navy seal ’ my dear tucheze moja wachana na sanchez aone johny bravo '.

'wacha hizo Uwes unajua nilinunua hio mbwa 50k ikiwa mtoi ’

‘50k! si ungeleta nikupee watoi wa bukusu shepart watano ?’

'Shepart ni wewe ’ the ungrateful baby mama responded as she wore her night dress and went outside the door.

‘waiwaiwaiwaiwai’ screamed out Wamboi (baby mama) ’ fergie amekufa ’ heheheheh i laughed heartily i have always waited to hear this words since the former manchester united coach beat us 8-2 in the EPL . I always knew she named the dog sir Alex in revenge since i left her . i pretended to rush to the toilet ’ what ! kwani sir alex alicomit suicide kwa kujirusha kwa toilet bowl ndio kichwa yake imefura hivo ’ the look she gave me was obvious she knew i had kimbo sliced the dog .

’ Sanchez enda ukae na aunty kwa sitting room tunakuja ’ off went the rascal.

’ yaani Uncle Uwes unaweza niuwia mbwa nilinunua 50k na vile naipenda ?’
‘my dear si mimi maybe ilishikwa na ZIKA virus ikafikiria toilet bowl ni TRUFFLES zile za homowebdev ikarukia with glee ?’

‘NKT’ wambui replied as she went out.

kuenda kwa bedroom napata anavaa dress nikanyonji kama duck billed platypus
’ my dear priss moja before tuendee siting room ’ ,
’ please usinisumbue ’ replied wambui ,

i did alot of cajoling but the lady refused banaaa , nikajiambia after all nishacheza threshold hata angeniongeza ma blisters kwa mboro vile @kingolonde alifanyiwa kamkuywa .
’ sawa my dear haina was , so tunaenda kanisani ama ’ ,
’ wewe enda kanisa hio yako ya illuminati usinisumbue ’ .

what kwani ile mbwa ya upusss imeleta shida hivi , i thought .

’ basi nitakulipa 60 k vile umbwa imekufa ’ .

'hio mbwa nilinunua 50k last year saa hii hiyo mbwa ni 200k ’ replied the KIKUYU in her .

’ 200 k si niende nipatie Wenger anunue Walcot wawili , sitoi hata shilingi ’ replied the Bukusu in me .
’ basi toka kwa nyumba yangu urudi pahali ulikuwa na hizo malaya zako ’

i was dumbfounded how can a woman talk to me like that , me a man circumcised by a blunt knife outside my dads mansion after coming from the river at 5 in the morning in sirisia in the year 1998 . nikaona nipige dem kofi ama nimkate mikono kama ule mkamba wa kina @vuja de wa kathonzweni but nikakumbuka the mother of my three kids vile ni mrembo nikajuwa hapa its not worth it, knowing this nyeri women are horned inside the volcano in mt kenya karua style nikasema ’ sawa ’

i went to the toilet nikanyora na kupiga Sir alex fergie carcass teke . then nikaenda nikacheza na (DNA confirmed Uwes) Sanchez for ten minutes then nikaingia ndani ya prado . chwaaaaaaaaaaa nikakuja na ngong road nikaingia opposite green house , black gate (brothel ) nikakunywa pombe na malaya , since nilikuwa nimecheza 7 KTALK threshold na wambui i could not fuckk again ningeharibu tu the 2k charge ya kukamua . at 2 i went home bibi bado alikuwa kanisani na watoi , nikaoga nakuweka fifa 16 nikaendelea kucheza .

MORAL OF THE STORY .

-POODLES ARE JUST DOGS ZINAWEZA KUUMA ANY TIME ZIKO NA MENO .
-BABY MAMAS ARE NOT GRATEFUL
-THRESHOLD NI LAZIMA UMEET
-MUSINUSUMBUE PRISSSSSS

mimi si mtu ya hekaya kama @kush yule mnono hapo chini mbicha ya quadrijointed prado na baby mama .

[ATTACH=full]51460[/ATTACH] [ATTACH=full]51461[/ATTACH] [ATTACH=full]51462[/ATTACH] [ATTACH=full]51464[/ATTACH] [ATTACH=full]51465[/ATTACH]

22 Likes

hekaya poa. letaga nyingi badala ya kushinda uki-shoutiya watu eti GAY…

8 Likes

UNATUSUMBUA, WACHA TULALE

scrotum tulia

ahsande baba

Hehehe…hekaya iko on point ango Uwes

1 Like

kapisaa chief

TL;DR

Hii ni noma.
Wacha kuzikanyagia design ya @pamba
:D:D:D

4 Likes

:D:D:D:D:D:D:D:D wachana na kwetu.
Huyu Mama Sanchez nikumuona nitakamua shot nikishout schupitttt uwesmake

1 Like

Hekaya freshi…lakini unapenda kubrag sana @introvert pekuwa huyu shepart vilivyo

1 Like

HEHEH si kubrag baba ni ukweli . @introvert tuheshimiane priss .

type in English…not everyone speaks chokosh language

4 Likes

hii momo tunakunywaga nayo pale church road nikitembea rongai!

2 Likes

Huhuhu says the pot to the kettle.

3 Likes

Aki Mungu okoa huyu

1 Like

heheheheh my dear nilijua lazima unilemee but isorait

Ntakua nakuombea daily uwes you are officially a prayer item

my dear si we meet tuombe , kakesha hivi najua wewe ni momo musoori .

2 Likes

:D:D:D:D:D Pepeta!

1 Like