Hekaya sacco

Registering new members now.
Patron ni king of hekaya @mabenda4.
Kuingia hii sacco post your hekaya, wazee wakisema ni poa you are in.
@admin hekayas move this village and everyone has one tale to tell.
Usiogope grammar nazis, usungu is a fallen (kkkkkkkkk) language.
This forum is Kenyan and tutaelewa.
Hekaya zicome wazito
@kush yule mnono Tunakudai moja. @Tommy Lee Sparta Hekaya ya ngwati two gojea. @Ka-Buda vipi bro, usitukarishe na hii suspense.
@bjurmann Angusha kitu
@kawambui tunagojea
Na kila villager mwingine wekeni hekaya.
Tumepitia mengi but there are those remarkable moments which are etched on your mind.
Please share.
Ni mimi wenu Elder Statesman.
Heat wave imefika mombasani.

2 Likes

tayari niko registered?
hii sitoi registration fees.
leo sina bundle niokolee

1 Like

Heri huko, huku ni heat wave na nyege kibao…mwezi umesota sana

2 Likes

@Stony amewachwa wapi hekaya ya Jana was epic.

2 Likes

time difference, atarudi tu

Nitakuwa Trechara…

1 Like

You mean @Stony = @Unicorn

1 Like

Yeah…without a doubt

1 Like

Haha. Napenda sana za @nairobilay na watu wa thika road. Ogopa WiFi ya Bure, za mat kwanza. Tuna endelea kuwamulika

1 Like

In dis our kijiji kuna stories mob, you log in and you get a hekaya ambaye inakumulika, you have been through that but different version, let’s read it my friends, NVs pia twajua ni handle zingine mwafungua kuweka hekaya but we smell you out.
Ktalk csi is very active na hawakulipa.
I got @Jirani namnajua ako majuu
[ATTACH=full]34510[/ATTACH]
Anauza maji hapa kongowea ya hamburg.

10 Likes

Heatwave iko hapa Nairobi too. Very unfriendly weather for a momo. Hot pant and spaghetti top is the way to go.

2 Likes

Hujumaaaaa…!!!a picture will suffice.

1 Like

@Meria Mata hujasema #fiudmasho
Mi hekaya sina watasema kishwa yangu bofu

5 Likes

:D:D:D:D…Kumbe unajua enyewe io nduthi ilikufanya madhambi.:slight_smile:

2 Likes

Mimi nilipeana yangu in advance.

Kwani Guka hayuko…you know kuna laana ukilenga wakongwe

2 Likes

Hekaya zikam kucum. Kwanza ile ya ule msee alibebewa ugali na stove by the landlord. Nilicheka karibu nilie

6 Likes

stima kupotea since jana usiku

KPLC bana …heatwave ndio iyo

@Meria Mata stima wapi wanategeneza whole day on a working day…hii upuzi si wafanye sunday :frowning:

[QUO=“Bingi, post: 385983, member: 1700”]Heri huko, huku ni heat wave na nyege kibao…mwezi umesota sana
[/QUOTE]

Maumivu yakizidi, Okoa jahazi na palmela!!!..

Naomba link ya that hekaya ustaadh

1 Like