heka ya coconut

so sparta…get invited to pavillion…there was a party uko…
so nikaenda its a beautiful place kichakani…wale wamfika uko wanajuwa…

met mabeste na tuka anza kukunywa coconut…apo pia kuna kuchoma kiasi iyo haikosangi…

tukalewa na coconut na wasee waka anza heka zao…vile wasee wametendwa na madame bla bla bla…so kama king wa heka nikawachapia yangu vile nilipataa dame wa bui bui anaitwa halima kumbe ni njeri ako apo ndani…thought iyo yangu ndio dope …but l was wrong…jamaa moja apo alikuwa anaitwa willy aka anza kucheka na kuanza heka yake…

(narrating as willy)

so mimi nilikuja mombasa na nilikuwa natamani kula dame wa bui bui…so one sato nimechapa makali zangu nikaenda kusaka …nikachukuwa tuk tuk nikamshow nasaka wasupa wa bui bui akanishow pale soko ndogo wako wengi sana…akanilipisha 200 to soko ndogo hadi kwa lojo…

so tukafika apo soko ndogo wote walikuwa na bui bui nikasema basi hii ndio mombasa pwani…nikashow dere wa tuk tuk tuende pole pole nichaguwe…

tukapitaa kama watano nika penda moja apo alikuwa na figure…nika mpoint akakuja akaingia…alikuwa na ile kiswahili ya pwani

akasema elfu tatu…apo nikamshow niko na elfu mbili akasema 2500…nikamshow 2k …eventually akakubali

dere wa tuk tuk tuende sasa…

tukafika lojo pale Rembo

nikapatiana mia mbili ya tuk tuk…tukaingia na msupa

kufika room mimi niko mbio kutoa condom…nionje hii kitu…
msupa akadai pesa kwanza nikampatia thao mbili…

nikatoa nguo nikabaki na boxer nikamshow atoe ninja… wacha atoe nione ndevu :frowning:
l was shocked …nikamuliza nini inaendelea na ako na voice ya mrembo…
akanishow yeye huchapwa nyuma …

nikajaribu kuitisha pesa yangu
akanijibu PESA IKINGIA KWA MGANGA HAITOKANGI

:smiley: This is not even the funny part
musitake juwa vile kulienda next

15 Likes

maliza hekaya mbio mbio kabla gay brigade wafike

12 Likes

Huyo halima ulimpata nyuma ya Casa b?

1 Like

naona wewe ni mteja :smiley:

wololo

wacha ufala!!! unatuonjesha aje hekaya kama zile gazeti za 10bob.

1 Like

Nimeuliza tu, story zako nyingi za mizoga ukiwa Coast ni Casa b na bamburi

iyo nikama kusema ukiwa nairobi zako ni tom mboya na moi avenue

1 Like

Badilisha title iwe hekaya ya mnazi ama vituko za mangweni

2 Likes

Beshte yako akiona buibui
Anatoroka

anaziogopa sana ata dame hajafunika uso anaonagaa ni chali tu

1 Like

Siwezi soma meffi ya sparta wa telegram Cc homo @Web Dev welcome fellow birrionea

@Tommy Lee Sparta nigawie ya prediction king…naskia siku hizi homowebdev anaosha gari kwako

iyo hate mingi ni ya nini kaka na january imeisha…Prediction kings bado tuko strong

Hiyo ya halima - njeri ni true story ebu malizia hio hekaya ingine

alipigiwa simu kama nararua akajibu

eke nigukuhurira thimu mami dauma gari

4 Likes

Wacha ufala wewe ni birionea sio? Nipe ya macho

Hio inakuanga sheko mate

1 Like

TLS, sasa, nimekumbuka ile story yako ya gun nikacheka, maliza hekaya

1 Like

I thought jamaa anamaanisha Coconut KC, kumbe ni mnazi

:D:D:D:D:D:D:Dulikuwa wahema kama gari…This is gold!!