Hehe! CHELSEA.

:smiley: Napenda saaaanaa:D:D:D

Toa hii listing…ata mm nimeshanga from 2:0 to 2:2 in a flash

Fabregas scores. Napenda sanaaaa

BudA 2:3 poleni

Huyi ref jo! Imekuwa off and 1 minute past the added 7:mad::mad:

Eeeeh manze…stupid ref

Nani kama captain fantastic

1 Like

Buda mna Draw kwenyu Stamfford bridge from an offside position na mna celebrate SMH

The stupid ref cost me my multi bet…yaani 3k imeenda hivo??! nkt

3 Likes

Defence ya Everton iko down. They could have easily won this match.

1 Like

What is happening. NIKO kitengela interior priss

@uwesmake game imeisha 3-3…chelsea wame equalize sijui 98th minute.

Umeonekana pale dandora dumpsite mkiwa na man Ngash cjui ati ulikuwa unalimwa doggy style na uyo ngash ukiwa na biere mdomoni.

1 Like

After ule boy kuwa injured kuliharibika. Na ule defender mzito Stones leo alicheza mefi

Huyo Stones gets carried away in games. Anajaribu kucheza kama Pique lakini hawes toboa. He needs to focus more on defending kama vile Morgan or Huth wa Leicester hufanya.

Niliskia ma commentators wakidai ati leo alikuwa anataka kushow off juu Chelsea walikuwa wanamtakaa na dosi abramovich alikuwa in addy. If u have seen stones defending b4 then u will know leo alicheza matope. He was not himself today…

1 Like

Lakini Stones nimemtambua uyo kijana anakuaga BA… Barkley pia namtambua kwa sana though leo hawa wawili hawakua kwa game sana

Stones ana talent, shida yake ni showing off. Akipunguza hiyo, he can be a very good defender because his tackling and passing is good.

1 Like