hehe alafu uone mtu akiingia hii air TZ

[MEDIA=facebook]2085641054849389[/MEDIA]

shida ni tanzania wanaendesha mambo kiswahili swahili sana…magufuli alianza na nia nzuri tu kuitakia nchi yake mema. Lakini akaanza kuwapa nafasi na vyeo wajinga na wapenda sifa ambao wanamshangilia na kumdanganya yuko kwenye njia sawa.

ukikosoa unapigwa risasi,unatekwa au unapotezwa…mwisho wake ndio huu sasa! wanavyo elekea kujitumbukiza kwenye giza ndio mashabiki wake wanavyomdanganya. Hizi ndege hata miaka mitano hazijafika na zimekuwa sukuma nishtue!!

If we compare TZ with KE. We are 25 yrs ahead of them bolingo wannabes…masomo muhimu

Hii ni aibu sana.

:D:D:D capi ashiria kratch tukifika kwa mtelemko

ako wapi yule jamaa wa TZ SGR