Health Matters

Watu wa AoN minet wako hapa ati wanafanya watu medical check ups.No need for me to go coz nime exceed threshold zao zote.

1 Like

kumbe …hahaha.sisemi sana

Sitaki kuwapeleka hasara,hizo ratili zenu…mnaambia ata 1gb ako na cholesterol na je 1tb mtamshow nini?

1 Like

hahaha.kuja tu uulize culture.