Nani ako na link ya diet ya huyu jamaa?
[ATTACH=full]87154[/ATTACH]
Umesahau ugali ya last week
[ATTACH=full]87164[/ATTACH]
Wueeh.
Sembe baridi na monkey.
Shait.
:D:D:D
he he…Ktalk…fery unforgifing…
nilitaka kusema umechiiizi, lakini tuseme tuu ulikanyangwa na tractor ya miwa ukiwa mdogo juu uko na PHD (Permanent Head Damage)
Hii ni ile Monkey iliiba trao yangu Ololua?
Baaas.
Uliza @MISCHIEF mahali aliitupa.
Old Manki nowadays anaona moto. Last time ilikua surprise attack, this time ni kupikwa alive. Old Manki unaonewa :D:D:D:D:D:D
@MISCHIEF unakula ndugu ya wenyewe, utawindwa my fren!!!
Kuna admin anaonewa na sitasema ni mgani!
Ruff wacha uchokozi.
Unataka kusema @MISCHIEF alikula monkey ndio apate powers za admin?
:D:D:Dhahaha hii kitu huwa tamu na si siri
:D:D:D:D
Ichieni?!
Rudisha mkia ndani ya sufuria wakule tail soup :D:D:D
:D:D:D:D:D
“Alikula”? :o
Scumpaka unaongeza mchanga kwa soup sasa. Hehehe…
Saitan.
:D:D:D:Dsaitan.
Mischiecth umemulikwa na ulinitusi nugu hii. Ha ha ha.