He has a Kamba, he's wanted by a Msap, but he really wants a Kale

Have you ever had something you want but are unsure of, offered something you don’t want but want, and deep down you really want something else but are unsure of what you will have when you get what you really want?

I am speaking for a “friend”. Amini usiamini….let me see how to break down all the details.
[U][I]

CAVEAT: This is in NO WAY a reflection of tribes. These are individuals! Keep that shit in mind before you go generalizing.[/I][/U]

The Have

Chalie ako na mkamba – together for 3 years. Ako poa. Ameiva, ako sawa. Duties zote yeye humanage – kama ni kupika, kufua, kushona nguo… vitu poa. Shida ya mkamba amesema ni hana financial discipline, na haoni ni kama ako na interest/uwzeo ya kuamsha kabiz na kuimanage.

Yes she’s gainfully employed, but maths zake huwa haziingiani. Single mum, mtoto ni dame wa 8.5 years, budake alitimua. The relationship was good. Somewhere along the way, trust has worn off in light of some things that have been seen.

The Offer

Kuna msapere amemnoki sana hadi ni kama dame wake wa pili. Of course, hawajuani so wanakaa mutually exclusive. They’ve met once, na wakasuspectiana juu ya vile waliangaliana na shiny eyes. Msap akasema, “huyo dame amenicheki vifunny…” na mkamba alikuwa, “huyo dame ni nani? Story yake ni?” of course, boys akajitetea ni mtu walikuwa naye training ya project fulani.

Dame ako sawa, ameiva, lakini ako na mtoi wa 6 years – kijana. A son is a tough thing to manage especially for a guy coming in. Budake alitimua mbiyo sana. Dame ni wa kule mahali wasee huvunjwa na mawadada.

She’s also gainfully employed, but lives at home. The parents (separated) are somewhat well off. Huyu hajampea slices. Ameomba, ameambiwa atapewa, lakini ni boyz ndio anastall.

The Desire

Boyz anataka mkale. Lakini wakale wote ameexprience (indirectly) either ni samaki, malaya ama samaki malaya. Anajua moja ako na bwana, pia chali kwa esto na anasotiwa na mse senior kwa ofe yao.

Wale wengine wanakaa kama runner. Wamekonda kama flagpost.

Conclusion

Ati? Pics? Pics ni wewe na ile nyani ya Kengen.

so, To Stay, To Risk or To Search?

So Kabogo bado ndio governor wa Kiambu ama amekuewa Senator

3 Likes

Hii shida ya kuto tosheka inasumbuanga kila mwanaume

sio wanjiru?..ama wanjiru ni MP wa wapi?

2 Likes

Unatusumbua na vitendawili

2 Likes

enyewe hapa ile @old monk ya kengen ndio pekee inaeza saidia

2 Likes

hi bby

1 Like

He has a Kamba- Raila and kalonzo
He is wanted by a Msap- Raila and Uhuru
He wants a Kale- Raila and Ruto.

Nipatie zawadi for making your post fully qualified.

15 Likes

Saa hii upus yote ni ya nini?

hi hun

missed u…

kitoto tu ndiye anaweza kusaidia huyo jamaa

1 Like

Mi naona pia yeye atimue

Huyo msee ahesabu 1, 2, 3 na atoke mbio.

1 Like

niko tuu nitafute

Zii… Aseme 1 2 3 na ahame kwa wazazi.

2 Likes

:D:D:D:D:D:D The hunter has become the hunted.
Wacha maringo, do the hunting.
Hi @Supu don

1 Like

hi beautiful…

[ATTACH=full]44027[/ATTACH] kengen suspect

2 Likes

[ATTACH=full]44046[/ATTACH]