Hawa watu Wana madharau wamekataa kuchukua 100k

Nimekaa nikaona nifike hangar kuchagua helicopter

Lakini kufika huyo engineer freemason anaruka feet tano

Offer yangu haitoshi…

Nizidi kujikaza kujaza Prado full tank

Nonsense wanadharau pesa hawa watu

Aiiii!!! Hao ni wakora, mwenyewe alikuwa anaitisha 90k. Pigia mwenyewe achana na hao brokers.

Nilikuwa tayari

1 Like

buckofama giphy (1)