Hawa watoto wanavuta nini jameni?

[MEDIA=facebook]115610382467017/posts/823862701641778[/MEDIA]

Hawa ndio ma sufferers wanajaribu kuondolewa hio Gikomba na moto kila wakati

Kishash

Basi Moto iwashwe tu

Kama sio hio Gikomba wangekua ngeta crew

Hii ni fangi dipped in Diesel and octane