Hawa madere wa Safari Rally washachoka na barabara za Kenya

These guys are fuming in the post-race interviews about the rough roads bana. Lazima wacheze chini kiasi juu wako kwa TV lakini mzungu hawezi ficha hiyo uso ya red :smiley: :smiley: :smiley:

I thought that was the whole point of the Safari Rally?

it’s not called the world taughest rally for nothing

Wanazusha that these roads are not meant for group 3 cars. Ni kama hizi barabara ni za bowlers kama za Paris-Dakar

Then let’s make our version of the Dakar ie Kenyan model

leta link

Baba zao walikuwa wana race times za Moi bila kulia

Enda wrc.com na ununue subscription ya mwezi moja 1500

youtube hakuna?

wanasema wamekuja safari

This is a professional sport banae, lazima ulipe ndio uone

wachu tu basi

I thought those are the kind of challenges they like.
Kama Hyundai sasa will have to think about their car coz ni kama.inalemewa sana

Kunaendeleaje huko roysambu?

:smiley:
Ati safari. Wanafikiri wamekuja kuona ndovu. Watalearn.

Ile vumbi watu wanakula huko

But si naona ni kaa imenyesha, au

Ndiyo, kunanyesha saa hii, asubuhi hakukunyesha

What is the point of a safari rally if not rough roads? Kama wanataka smooth roads waende f1.

The classic safari rally is popular for its toughness, not for the faint-hearted

Hao ni wazungu wanapiga kelele , Africans are used to dust