Msiwahi jaribu hii kitu…nimelala from 9pm jana mpaka saa hii 8pm… ni kama I was in a graveyard dead and resurrecting at the same time. Ogopa danger hatari…
[ATTACH=full]401868[/ATTACH]
Msiwahi jaribu hii kitu…nimelala from 9pm jana mpaka saa hii 8pm… ni kama I was in a graveyard dead and resurrecting at the same time. Ogopa danger hatari…
[ATTACH=full]401868[/ATTACH]
Pole kwa masahibu.Please drink in moderation.
Omwami, huwezi toka kwa busaa halafu unarukia gin kwa pupa hivo…baby steps …“khocha”
Call me old-fashioned, but how do you guys get the guts to drink anything that has an alcohol label on it??
Stick to cham kuka. Jana tumelala saa saba usiku, kumbe wewe ulikuwa blackout.
Nitaijaribu.
Unaltered 44% a/c is a very strong stuff.
Kwanza kama umezoea Gilbeys gin ya sijui wapi.
How is that small bottle 750ml?
sijui nini ilinituma hapo
It’s fat very fat bottle
Kwani pilsner ya kdf hainaga alcohol label
Hiyo mkono sio ya mtu mzae…umekuwa ukitudanganya wewe ni fossil
Hope hungover siyo mbaya, lakini hii cocktail ya busaa Na Jin iishe prrriiisss
I also wonder. Naona tuko wengi. Mimi hata clubbing tu… I wonder how people get attracted to that noise…Napenda peace
keg works better omera!
Hapo sasa
[ATTACH=full]401874[/ATTACH]
Gin ni hatari. I avoid it like the Covid virus. The one time I drunk it, it’s like the high refused to go away. Even after 7 hours I was still drunk as hell. I only drink gin if I absolutely must drink, and there’s nothing else in the vicinity. Gin has mint and any time you put mint into food or drink, it intensifies the flavor or effects.
Ile gin mi hugopa ni moja Tu, inaitwa blackwood vintage dry gin, my fren usithubutu
AMG member here. Najipenda sana. Cant allow my body near some concoction
Rudi kwa kimera, achana na hii sumu ya kudhuru ini.
[ATTACH=full]401875[/ATTACH]
Tomba uyo kijana kapisa