5LB = 2Kg
$6.99 * 103 = KSh720
Hiyo kitu ya kushikilia exam papers inafanta nini kwa unga?
Lakini mbona ungoje watume mahindi kutoka hapo near kwenyu (Mexico) all the way to Kenya via SA halafu fina product itumwe all the way Stato? Si uingie Latino shop tuu?
hehe funny
This shit is packaged in Pennsylvania. With corn grown in the state of Iowa.
Si wanapikia ugali kwa exam room
Wachana na unga ta fasali ka uu ndio mchezo…
@kush yule mnono unanunua yako ngapi?
kwa wanawake wengine kupika ugali ni Kama exam
Girl stop wasting money just because the packet has the word ugali on it. Go to any West African/Carribean store and get some corn meal hiyo $6.99 utatoka hapo na 10kg. Wacha mchezo
:D:D:D I use those things too in my kitchen. Rubber bands are unreliable kukatika ovyo ovyo.
Kifikifi inanyonga maandishi tena, shiny one.
:D:D:D
kumbe Arap sighn is influential like that
si ununue food tin umwage unga ndani
kanyagia hiyo story
Thanks, i’ll look into that. Masarepa works too.
exam yao ya home science ilikuwa kupika ugali
Enlighten me,why do you use them?
Ulitoa ungaa ya jogoo wapi?
Kufukuza mende kwa unga,ni nini huelewi ??
So you eloped ? Sawa