Hasla has rewarded my Agikuyu people so well mpaka i have defected from Azimio to UDA

Politics is all about political power and sharing the national cake. Hasla has proven to be a real gentleman and honoured all his pre-election promises. I respect a man who keeps his word and therefore nimehama from Kuzimia to the UDA party. Can @sani and @Kalenjin101 welcome me please?

Mijinga munaona hapa juu,there are more positions yet to be dished out.
Na juu JSKS anajua nyinyi ni watu wa kuzubaishwa kidogo,hizo zingine zote zinaenda kwingine…ngoja uone parastatals.
Kwanza hizi za Energy…woooii Davis Chirchir pana tambua wewe kama sio meno mingi

How have YOU benefited from those appointments personally??

Ruto atapanga game pale PSC.

Unugu ya bafrigha ni laana na upumbavu wa kuthamini thamani ya uso.
Do you know the true functions of a cabinet secretary?
Sasa kwenye mfuno huu mpya wa katiba, umesahau waziri si mwakilishaji wa mpigaji kura, ama akili zenyu bado ziko enzi ya nyayo?

Karibu sana UDDER. Huku ni kunyonya matiti tu na kukunywa maziwa

Inakaa wewe ni yule ODM gavana wa Murang’a mwenye alipata 76 votes.
Niaje Pius

Were you old enough to know one J J Kamotho? I see many Tumothos.

My people have benefited by getting about 50% of govt. When my people benefit I also benefit. Hasla amefanya kazi buana.

@PHARMACY hasla amewapea minister 4 kuanzia Monica Juma to Miano

:D:D:D:D:D Tangu Gicheru adedi juzi naona you got the message .

@sani @Kalenjin101 mumestua hii kijana ya Asimio

WSR is a man of his word, see how he supported Konyagi ×4 since 2002.
Let’s now monitor performance

Monica Kathina Juma, that’s kamba

Hakuna kutishwa.
Niko Jubilee liwe liwaro.

Kumbe ni wewe?waturedio wewe ni ngombe

Sihami Jubilee.

Mashungu ya Azimionites knows no bounds.

Didn’t be so quick to celebrate. Takataka kama Nanok na Muthama are yet to be rewarded.

Wait until CAS and PS have been announced. Don’t be excited by small small things.

Mbona inakuuma basi. I have benefitted that umeumwa

Karibu

@Thirimaii ngui