Hii mambo ya kusumbua watu wa kuchangie ndio ufanye harusi hapana tambua… Na kwa wale ma ninja wana ngoja pesa ndio wafanye harusi mbona uji stress bure na ma high nlood pressure? Vaa ka sunday best kako na mshe pia avae sunday best ongea na pasi na harusi ina fanyika chap chap and you leave happily there after.
[ATTACH=full]79994[/ATTACH] [ATTACH=full]79995[/ATTACH] [ATTACH=full]79996[/ATTACH]
That is a nice … KISS… Keep, It, Simple, Stupid…
Mc kwani amevaa uniform ya urp?
The chiq from the waist down ni disaster but I am happy for them.
Huko mashambani hawajui hii
thread imehariwa
Good stuff right there.
I wish them all the best, alafu birrionaire wa kijiji a slyce kijana bibi! :@
Bado aja kula beef. Hagah zitatoka tu, u have to be patient.
this just SCREAMS unplanned pregnancy
Regret written all over in the last pic.
Am getting married soonest.
I will invite everyone in the KTALK village except @Bingwa
Usher na choir member kwisha pendana, njamaa haamini amepewa password:):). This is gold. #Tukopamoja
Si wamefanya harusi! Its now a peasnats planned pregnancy!!
Though wedding inakaa ilipangiwa kwa hiyo church service ikiendelea. “Jelimo sema Ngwee nikuoe sahii!”
bora ufanyie kwa uwanja kubwa tusisubuke na parking za machopper
I know of a guy alifanya hivi kwa church yetu pia. Just before service ianze pastor took like 7 mins and it was all done.
hehehehehe ati Ngwee, Lazima wangepena notice ya 21 days
Reserve a table at the high table ya mods.
Mods zi… Unless u reinstate @Jigrany ju yeye ndio atakua mboch hiyo day.
atakuwa na appron ya Adidas
Midget @Jirani kam kiasi, naskia unatusiwa ati wewe ni chokosh wa mitumba.