HARDMean Ban This Mchagga Spammer

Kila saa anajaza server na meffi ya Least Developed Sh!thole

[ATTACH=full]499192[/ATTACH]

yes ban the idiot @T255

What crime has he committed

Posting more than @Ndindu

Do you know which server stores Kenyatalk contents?

Mkuu sio mimi

Na unaposema least developed sh1thole yaani ni as if wewe kwenye ubongo wako unaona kama Kenya ni first world vile,kumbe ni pumbavu wawili wapo kwenye shimo la mavi halafu unamcheka mwenzio kumbe wote mpo kwenye mavi regardless.

Kuhusu sijui least na most developed achana nayo maana wote tupo least developed regardless,hakuna wa kumcheka mwenzie,atleast SA can laugh at us.

Na hizo post sijaona tatizo lake,kama hujazipenda unaruka tu…

Binafsi yangu sio kila uzi anao post huyo jamaa nakubaliana nao,ila sijaona tatizo as long as hatukani mtu!

Wewe mmbongo mnaishi TZ ambayo iko Sawa na Kenya ya 1993. Mtuwie radhi, sikutarajia kuwaudhi.
[ATTACH=full]499222[/ATTACH]
Vitambulisho mumeanza kuzipata miaka 9 iliyopita. Kituo cha[COLOR=rgb(184, 49, 47)] TV mumepata cha Kwanza mwaka wa 2001.Hati za mashamba hakuna. Nyie ni kiwango cha Mozambique na Malawi.

Unaona sasa…

Ujinga ndio huu hua siufanyi

Wote tunakula vumbi,then unaona utumie muda wako kumwambia mla vumbi mwenzio how good life you have eating the same vumbi

Tanzania ni masikini,Kenya ni masikini,so is Uganda,Burundi and all these sh1tholes around…hakuna cha maana tukianza kukaa hapa na kuringa eti umasikini wangu mimi upo hivi mara vile,wote ni masikini watupu!

Hebu lete hoja za USA,SA,Singapore,etc…usiniletee hizi sub saharan nonsense,sina muda huo…niletee nchi atleast naweza kuiga something nikafanikiwa,sio huu ujinga!

Bado huyo mnyamwezi yuko? Nilikulisha yeye ignore day three alipoingia. Nugu kabisa

:D:D:DMalissa