My friends let me school you on something I learnt today the hard way. Ukiwahi enda garage or carwash na uone msee (attendant) mwenye anataka kupark gari yako vizuri ako hivi, amelean forward tohave a better view ya mbele, ameuma ulimi, amekondoa macho kondo kondo like @Kihii Kiaganu , my friend ambie yeye atoke kwa gari faster like @uwesmake akiskia kuna momo imejipa mahali.
Leo msee wa garage amelambisha Kender mobile mtaro, hata sikuwa najua hiyo gari inaweza take off vile ilichomoka. Weekend imemessiwa hivo, sasa ni kurudi kwa team nduthis
Efidens dio hio[ATTACH=full]109021[/ATTACH]
huyo attendant aambiwe “pieri pieri pieri”. hii design.
tuliona mwingine aki write off I think V8.
Haukupiga yeye masweep na makonde?
ha! pole sana
Always park your own cars…apana wachia attendants sijui wafanye nini
Bahati mbaya sana. Gari ikigongwa mbele huwa hairudi form tena. Tayarisha si kukamuliwa na watu wa body works tu, lakini pia kukubali hiyo gari utakuwa unaskia kuuza kila time.
We wacha kuongea hivo bana. But nimeipeleka kwa Kalasinga sio kwa mwangi or Omondi wa fibre, huyo najua atairudisha ikue poa, hata body kit. Na uzuri chassis haikuguswa.
Zi. Sababu alihepa sai imekuwa police case.
Unataka babake auze shamba ndio ulipwe chuma
Wengi pia nikama huwa wanataka kujuwa security features za ndai kama cut out place umeihide…I dont trust hawa watu…osha gari nikiwa hapo kama ni parking I can do it myself…kugongwa hivo hiyo Axio imereduce value vinoma…kuuza nishida
Stop being economical with your reasoning. Uliza facts zote ndio uulize maswali zile zako za kijinga
Najua una mafeeling
uuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuwi mbaus!! me vile niko na gari yangu you’d think i’m the most selfish person on this planet.
always damage your own car. mtu asikufanyie.
pole sana kende
Mi huambia watu gari yangu ni ya mkono moja tu. Ama driver pekee. Afadhali uitwe mchoyo.
Nikupee advice hutapenda…ukiundisha hiyo gari iuze immediately. Gari ikigongwa mbele inafikanga expiry date…mara sensors, mara takataka mingi sielewi za engine…sell that car immediately ubuy ingine. Thank me later. Otherwise utapata kipara kama ya @introvert juu ya stress
hehe asha nisheke
Jamaa…matatu inakupeleka aje? Leta hekaya tuone kama ni worth it kuwekelea pesa huko
Wachana na hio Mungiki,the cranium cavity is full of shet!