happy

jana nimeshinda 107k

Kijana this is a birrioneas cesspit…pocket money yangu isifanye uone ni kama umefika…you would be better of flaunting that amount kwa singo matha facebook pages Sio apa… kuwa mpole

4 Likes

Nitumie 500 nikule lanye calabash, nishike jaba na keg

5 Likes

Show Us Your Current Balance… Wacha Kutishia BoyChild na Message ya Muhindi Hapa.

4 Likes

Nimedhani ni millions nikuwe wakili wako banae

1 Like

Umewithdraw saving ndiyo upost screen shot

3 Likes

Stealing Mike D GIF by Beastie Boys

1 Like

weka io slip hapa

meffi


Pocket change ingine hapa na bado

1 Like

What’s up with the little … rather childish show off’s wadau. Kwani mumeanza kushika pesa juzi. Old money hatunanga hii shida …
Investments wadau. Leteni projects mnafanya … vitu za maana that inspires. Hapana small change rustler easily blows up in a night …

Project niko na ya maana sana ya kulea kadame kangu kaska kuje kutishiwa na nugu kama izi za pesa ya betting

1 Like