happy holidays...

Talkers have a safe and awesome holiday, yangu nime anza kuona double…

[ATTACH=full]24677[/ATTACH]

[ATTACH=full]24678[/ATTACH]

Mama amemaliza kukandia chapo kwa hiyo meza alafu unaekelea fombe ?? Huna table manners

1 Like

Mimi nakunywa chagaa hapa kwa reuben. Inapimwa tuvifuniko mbili mbao na nimekunywa sita nasiskii kitu. Hizi tuclub za mabati kama zile kush mnono amesema hapo juu zina joto kweli kweli mchana

mimi nakunywa kwa keg joint tuuuu