Nachukua nafasi hii kuwatakia wababa wote siku njema na pia kuwakumbuka wale wote ambao wamekua nguzo muhimu Katika kusimama kwetu.
Heri ya siku ya wababa wote.
Nachukua nafasi hii kuwatakia wababa wote siku njema na pia kuwakumbuka wale wote ambao wamekua nguzo muhimu Katika kusimama kwetu.
Heri ya siku ya wababa wote.
Iwafikie wakina baba wote
Shukrani nyingi zifike na kwa mshua Iwambi mbeya.
Iwafikie wababa wote wanaojua majukumu yao na kuyatekeleza.
Wanao gegedwa nao ni wababa? Je baba ni yupi sahihi
Asante tunashukuru,kuwa mwanaume raha sana hasa ukiwa baba…
waache kututenganisha na familia zetu.
mara happy mother’s day.
mara happy father’s day.
Mara happy children’s day.
mimi naamini katika happy Family day.
Leo nahofia kumpost mzee baba mana utashangaa mtu anakuuliza umetoa wap picha ya baba yake?
Happy fathers day