Happy Birthday Introvert

And may you have many more, Zawadi yangu nitakupa Jan 4th wakti i will let you spin msedes from Mlolongo to Naks after you promise never to put ES in any future Gunia Wiki hii.
[ATTACH=full]147550[/ATTACH]

29 Likes

Happy Birthday mekanika murefii

6 Likes

hbd

2 Likes

Happy birthday fellow bandit. Many more are on route.

4 Likes

Mara kwa mara mimi husema…
(read in retired president Moi’s voice) and finish for yourself.

5 Likes

hbd @introfart…makanika mureffi… btw how is the lorry ya waya you made juzi? ?

1 Like

Siamini kuambia mzee HBD. @introvert punguza kipara its confusing planes with its brightness.

8 Likes

Hbd

Kamua Makanika pole pole

happy birthday @introvert kumbuka ile machine ni resolution

ata kama uli lenga message yangu

@Meria Mata niko ocha uku hakuna kusafisha macho ni ratish pekee

ile qui sparta ako nayo nakuja kuchukuwa curtain tatu

1 Like

Hehehe, wewe kama hujui ulizaliwa lini enda carbon dating.
Saitan.

22 Likes

Pole man.
Kindly inbox again.
Kuna wakati hivi majuzi akili ilipotea kidogo.

6 Likes

HBD Makanika Murefi pewa WD40 ya pale kwa Kama na ulipe.

2 Likes

Wee makinika wacha za ovyo rusha ka wd69 kwa wazito pale ile group ya genius

2 Likes

eti tatu, isalight isokay

HBD bro @introvert may you grow to have your kihara extend to where the sun never shines.

4 Likes

HBD Dirty hands clean money. May you live longer to see more clean money. Walakin, cha muhimu na la msingi, usisahau Maulana

4 Likes

hbd makanika Wa kifikifi

3 Likes

na la sekondari je

3 Likes

Santi.
WD40 zimenionyesha nifanye engine swap.
Naweka hii V8 ndani ya gari ya wire.
Stay tuned…
[ATTACH=full]147572[/ATTACH]

9 Likes