Desert safari and the thrill …
[ATTACH=full]237131[/ATTACH]
Desert safari and the thrill …
[ATTACH=full]237131[/ATTACH]
Ngamia ya uarabuni maji huwa mnatoa wapi if thiz is the situation
is not a thrill, is an illusion…money has made you sick
Hapa naweza weka pedal to the metal, ama Kuna ujanja mwingine wa kupanda na kushuka hizi dunes
Miss Finest Wine kujia bae wako ako desert
But where is the thrill and fun kama you are just the passenger?
Hehe … kwani passenger wanafaa kukaa kwa dashboard ama? Sheji
Utakwama, the trick is going sideways, like a mongoose
Ka stop over kiasi …
[ATTACH=full]237134[/ATTACH][ATTACH=full]237135[/ATTACH]
Na kigonyi wetu pia ndo huyo hapo …
[ATTACH=full]237136[/ATTACH]
Mujamaa acha kisungu mingi … hio yako sio msemo ya mbirrionaire
mumeamua kwenda kuactia faggots movie kwa desert?
Kanono umefanya dune bashing ama wewe ni wale staff wa kushikia tourists ngamia ndio wapande? ION desert safaris are overrated. Driving around in the hot sun, 15 minute dune surfing, camel ride, maybe buggy ride na ni hivo.
Wewe kijana,fanya kazi bila kusumbua…
Miss Finest Wine wooooi kush amekanyaga dunes bila fiatu
Tuck a tuck a
Wrong mujamaa … on our way out now
[ATTACH=full]237147[/ATTACH]
Where are the girls?
hawa watu hupenda hizi nissan patrol
No fixations required.