Hapa vijana ni kazi

[ATTACH=full]444050[/ATTACH]
[ATTACH=full]444054[/ATTACH]

[ATTACH=full]444066[/ATTACH][ATTACH=full]444067[/ATTACH]Kiongos
[ATTACH=full]444055[/ATTACH]

the kaprox general?

KK soup ni supu ya kuku kienyechi?

Chapo moja ni mia…Jeeesu

Hiyo cabros ni blunder. Wakati wa vita za kanjo na hawkers hizo mawe ndio zitatumika.

Khiihiii rudi gicagi wacha kuleta ushambaa hapa

Kijana unameza Vikombe sita za supu, chapati tatu na unateremsha na kibuyu ya maji. Enyewe wee ni mtu moja sugu kabisa aisee …

Kina @uwesmake wanakupeleka lunch hapo unatishika na chapati? No wonder unafirwa mchana from such small things.

Si heri wanipee hiyo mia nne kwa sababu mimi naweza monda chapo nne,nikanunue unga mbili za chapo na change ninunue mafuta kidogo ya cowboy

Bado mafuta ya cowboy iko

Iko ,Kasuku na joma ndio zilipotea

:D:D utakaa chini utengeneza unga na upike Chapo…? Si unabidii ya mchwa. Ama ni zile zinatokea zikiwa ngumu kama za last supper

Juzi mtu ananinunulia lunch pale Urban eatery.
Niliumwa sana,angenipea hiyo 3k vitu ningefanya nayo…wacha tu.
Halafu food yenyewe ilikuwa ovyo tu…broccolli na vitu zingine sikujua ni nini.Juice pekee ndio ilinibamba

Hizo juice mi huzi avoid, huwezi jua wanatoa wapi maji ya kutengeneza.

Aghakan walk ikuwe swafi

Urban eatery ni high end restaurant banae

:D:D usijali kaka, hapo inabidi tu shingo upande unakula.

Mimi ni mtu wa kufanya ithafuu banae…Hiyo ingekuwa lunch ya siku mingi sana across the road

Zitakuja tu bora bidii.

Lakini utatumia tu masahani na vijiko juu hizo unajua penye wanatoa maji ya kuosha?

Clearly, juice is where you draw the line…