Hapa si the devil was calling this plane

https://x.com/adan_zamuh/status/1767797180033581245?s=20

2 Likes

That’s a Boeing 737. Hizo ndege ni mikebe

1 Like

Mbona mnaekelega Saito mambo miingi

3 Likes

planes do that sometimes… ama unathani upepohaina nguvu?

2 Likes

Hapa the pilot flying the plane alisahau ku extend flaps.Hapo mwisho ame zi extend last minute plane ika take off.Maze mnaekelea saitan vitu hata hazimhusu bana

4 Likes

Toa story za upepo hapo.As a Geographer we were taught to look at the surrounding environment for evidence. Those trees are not shaking at all…and the type of trees also suggest its in the tropics…wind speed is general low

2 Likes

Hii ni mithi as we call it, ile wakati engine inakosa nguvu, hapa ilikuwa na mithi halafu ikapata nguvu ikapepea

3 Likes

Mimi after hizi visanga za Boeing nitakua naangalia ni ndege gani inaenda na hio route afadhali Airbus sasa

1 Like

Ndege haikuwa imefika critical speed for the angle of attack to generate a lift-off.

3 Likes

So in a short runway Wangepita na fence?

Yes. Kila ndege iko na minimum length of a runaway for take-off and touch-down. Commercial flights copied taxi takeoff and touch down from the Albatros bird.

1 Like

Kathozoweni panda hizo fh ama omba lift kwa malori ya mchanga, ghassia

2 Likes

Ghaseer hii kuja nikupandishe Umowa Sacco ukasalimie @PERDITION Kitui

2 Likes

hahaha ati the devil was calling the plane nice , sounds well in kikuyu, Ni ngoma wa miitaga

1 Like

Hio kaubwa nikipatana nako nakauua
GIF by West Coast Strength

1 Like