Mbwa ikibweka inakaza.
Hii video ni funny sana
Ahhh Shepart kaponea johhh
Kutolewa nyama kwa mdomo
Goosebumps
Shepart inabweka ni kama imeskia parapanda ya mwisho:D:D
mluhya parapanda ya kwanza ni gani ? hapo ndio kwa hekaya za dogi zikipiga kwa kijiji zinasema man not woman , is their best friend .
Shait.
Omieri inataka kukula Omosh?
@admin none of your upuss emojis can capture my state of mind.
Ng’ombe.
So unfair…umbwa kama ni mjinga wacha akuliwe… mbona kunyanganya python chakula…alafu kuichapa
Hao jamaa wameharibu, python ilikuwa imenukisha kitunguu
Hiyo ni kuchapa ama ni kuiua.Kuimonda kichwa