Mi nawashow I have a friend in Kahawa West nimeona amepost postas FB ati ana-vie MCA. Kidogo namuona Kwa campaign Trail ya jamaa flani Benjie Mungai, who is vying for MP hizo area code. Kidogo Kidogo, my friend akapotea kwa radar na TL yangu. 3 weeks later, naona Post FB, amekua Kenyatta 3 weeks ameminywa rithee na ma-thegi.
Then I remembered that video ya majamaa wa Otuoma wakizua rabsha in some room kule Busia. Guys pulling out pistols and cocking them ovyo ovyo ni kama wanatoa vijiti za pool na kupaka mate ya kismat.
Leo kwa news NTV, nimeona ule fala wa Mboka alikua na ma-osungu mingi ile wakati Obama alishinda. Ule wa Prodigious, Cantankerous, phenomenal. Only this time, alikua Nakuru West akizusha kwa Nomination za ODM. The Media always manages to find these people mi hushangaa tu.
Nakuru ODMafia hupiga siasa kwa muuza gazeti hapo karibu na ofisi za county tao. If you arent n that club ijaribu kusimama utaona vumbi. A friend tried in 2013 aliona mwoto. Watu wa rhoonda